Download Free Apps & Games @ PHONEKY.com
Subject: Mjadala wa Richmond
Replies: 1 Views: 1204
lslg 14.02.08 - 04:18pm
Je mjadala wa richmond unaoendelea bu*ngeni unaweza ukapunguza makali ya maisha kwa mtanzania wa hali ya chini? *
1rama 1.07.08 - 07:10am
Upunguze wapi wewe! Wale wamechanganyana wenyewe ktk mgao wa mali wanazowadhulumu watz, dat iz y wanaamua kutajana. Kama mbwai, nmbwai 2. Umaskini palepale *